Friday, October 11, 2024

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA, UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, CHAMWINO MKOANI DODOMA.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi ya Kijiji cha Chamwino, Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuzindua zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura tarehe 11 Oktoba,2024.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni ya kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.




Wananchi wa Chamwino wakijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzindua zoezi hilo Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Chamwino mara baada ya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.








No comments: