Sunday, October 13, 2024

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGA MAONESHO YA SABA YA TEKNOLOJIA NA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA MADINI KITAIFA MKOANI GEITA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia mfano wa uchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu wakati wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliofanyika Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na watoto wakati alipopita kukagua mabanda mbalimbali ya Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliofanyika Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali wakati wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliofanyika Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia hatua mbalimbali za uchimbaji na usafishaji ili kupata madini ya dhahabu katika Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliyofanyika Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.

No comments: