Saturday, October 12, 2024

WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA TAA MAONESHO YA UTALII YA SWAHILI (S!TE 2024)


Meneja Biashara kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Harieth Nyalusi akitoa maelezo kuhusu fursa mbalimbali zinazopatikana katika viwanja vya ndege vinavyosimamiwa na Mamlaka hiyo wakati wa maonesho ya Nane ya Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024) katika Ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam 
Afisa Masoko TAA Kasanga Festo akitoa maelezo kwa wananchi waliofika kwenye banda la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na mamlaka hiyo wakati wa maonesho ya Nane ya Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024) katika Ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam.
Afisa Uhusiano Mwandamizi kutoka TAA Mariam Lussewa akitoa maelezo kwa mwananchi aliyetembelea banda la Mamlaka hiyo kuhusu kazi zinazofanywa na Mamlaka hiyo wakati wa maonesho ya Nane ya Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024) katika Ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam.
Afisa Biashara kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Gelina Lulandala akizikiliza maoni ya wateja pamoja na kutoa elimu kuhudu Mamlaka hiyo wakati wa maonesho ya Nane ya Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024) katika Ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam.
Afisa Mipango na Takwimu kutoka TAA Edward Kimaro akizungumzia miradi mbalimbali inayotekelezwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wakati wa maonesho ya Nane ya Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024) katika Ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam.
Afisa Masoko kutoka  TAA Shaaban Towo  akitoa maelezo kuhusu elimu kwa mwananchi aliyetembelea Banda la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA)  kwenye maonesho ya Nane ya Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024) katika Ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wakiwa kwenye picha ya wakati wa wakati wa maonesho ya Nane ya Swahili International Tourism Expo (S!TE 2024) katika Ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam.

No comments: