Saturday, October 12, 2024

DKT. NCHEMBA ATETA NA MKUU WA KAMPUNI YA HEINEKEN JIJINI DODOMA


Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiongoza kikao kati yake na Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Kampuni ya vinywaji vya Heineken, Bw. Frank Ford, alipomtembela ofisini kwake jijini Dodoma. Katika kikao hicho walijadili kuhusu ukuaji wa Kampuni na namna ambavyo Kampuni hiyo inachangia mapato katika Uchumi na maendeleo ya nchini.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiwa katika picha na Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Kampuni ya Vinywaji vya Heineken, Bw. Frank Ford, baada ya kikao chao kilichofanyika Ofisini kwake-Treasury Square, jijini Dodoma. Katika kikao hicho walijadili kuhusu ukuaji wa Kampuni na namna ambavyo Kampuni hiyo inachangia mapato katika uchumi na maendeleo ya nchini.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Kampuni ya vinywaji vya Heineken, Bw. Frank Ford na Meneja Masoko wa Kampuni hiyo, Bi. Lilian Pascal, baada ya kumaliza kikao ambacho uongozi wake ulifika Treasury Square, jijini Dodoma, kuzungumza na Mhe. Waziri kuhusu maendeleo ya Kampuni hiyo na namna inavyochangia katika uchumi wa nchi.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Kampuni ya vinywaji vya Heineken, Bw. Frank Ford na Meneja aliyefika - Treasury Square, jijini Dodoma, kuzungumza na Mhe. Waziri kuhusu maendeleo ya Kampuni hiyo na namna inavyochangia katika uchumi wa nchi. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandimbya, kulia ni Kamishna Msaidizi, Idara ya Sera, Wizara ya Fedha, Bw. William Mhoja, akifuatiwa na Afisa Masoko wa Kampuni hiyo, Bi. Lilian Pascal.

Na. Benny Mwaipaja, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Kampuni ya vinywaji vya Heineken, Bw. Frank Ford, aliyemtembelea Ofisini kwake, Jengo la Treasury Square, jijini Dodoma, akiambatana na Afisa Masoko wa Kampuni hiyo. Bi. Lilian Pascal, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya kampuni hiyo iliyowekeza hapa nchini na namna inavyochangia katika pato la Taifa na Uchumi wa nchi kwa ujumla.

Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha anayesimamia Sera za Uchumi, Bw. Elijah Mwandumbya na Kamishna Msaidizi, Idara ya Sera, Bw. William Mhoja, pamoja na Maafisa wengine waandamizi wa Wizara ya Fedha.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiwa na Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Kampuni ya Vinywaji vya Heineken, Bw. Frank Ford, aliyefika kumtembelea Ofisini kwake, Jengo la Treasury Square, Jijini Dodoma, ambapo walizungumzia kuhusu maendeleo ya Kampuni hiyo na mchango wake katika uchumi wa nchi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (kushoto) akifafanua jambo wakati wa kikao cha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) na Mgeni wake, Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Kampuni ya Vinywaji vya Heineken, Bw. Frank Ford na ujumbe wake, walipomtembelea Mhe. Wazir,i Ofisini kwake jijini Dodoma, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Kampuni yao na mchango wake katika uchumi na maendeleo ya nchi.
Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Kampuni ya Vinywaji vya Heineken, Bw. Frank Ford na ujumbe wake, akizungumza jambo alipomtembelea Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Ofisini kwake, jijini Dodoma, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Kampuni yao na mchango wake katika uchumi na maendeleo ya nchi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (kulia) akifafanua jambo wakati wa kikao cha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) na Mgeni wake, Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Kampuni ya Vinywaji vya Heineken, Bw. Frank Ford na ujumbe wake, walipomtembelea Mhe. Waziri Ofisini kwake jijini Dodoma, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Kampuni yao na mchango wake katika uchumi na maendeleo ya nchi. Kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Idara ya Sera, Wizara ya Fedha, Bw. William Mhoja.
Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Kampuni ya Vinywaji vya Heineken, Bw. Frank Ford na ujumbe wake, akifafanua jambo alipomtembelea Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (hayupo pichani), Ofisini kwake jijini Dodoma, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Kampuni yao na mchango wake katika uchumi na maendeleo ya nchi.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza jambo na Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Kampuni ya Vinywaji vya Heineken, Bw. Frank Ford (hayupo pichani) aliyefika Ofisini kwake katika Jengo la Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Kampuni hiyo na namna inavyochangia katika uchumi wa nchi.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha, Dodoma)

No comments: