Saturday, October 12, 2024

MAKAMU WA RAIS AKIWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA KUPOOZA UMEME


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Miradi wa Tanesco Timothy Mgaya kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Kupooza Umeme cha Msongo wa Kilovoti 132/33 kilichopo Uhuru Wilaya ya Urambo wakati wa uwekaji jiwe la msingi katika mradi huo akiwa ziarani mkoani Tabora tarehe 11 Oktoba 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kituo cha Kupooza Umeme cha Msongo wa Kilovoti 132/33 kilichopo Uhuru Wilaya ya Urambo wakati akiwa ziarani mkoani Tabora tarehe 11 Oktoba 2024.






Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wananchi wa Usoke Wilayani Urambo wakati akiwa ziarani mkoani Tabora tarehe 11 Oktoba 2024.



No comments: