ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 20, 2024

KAILIMA, MWAMBEGELE MBEYA KATIKA UBORESHAJI



Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (kulia) akikagua mafunzo ya vitendo ya waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata wakati alipotembelea kituo cha mafunzo kwa halmashauri ya Chunya mkoani Mbeya leo Desemba 19, 2024. Uboreshaji Mkoa wa Mbeya na Iringa unataraji kuanza Desemba 27 hadi Januari 02, 2025.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani (mwenye kofia) akikagua mafunzo ya vitendo ya waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata wanaoshiriki mafunzo ya siku mbili, wakati alipotembelea kituo cha mafunzo kwa halmashauri ya Wilayua ya Mbeya mkoani Mbeya leo Desemba 20, 2024. Uboreshaji Mkoa wa Mbeya na Iringa unataraji kuanza Desemba 27 hadi Januari 02, 2025.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani (kushoto) akikagua mafunzo ya vitendo ya waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata wanaoshiriki mafunzo ya siku mbili, wakati alipotembelea kituo cha mafunzo kwa halmashauri ya Wilayua ya Mbeya mkoani Mbeya leo Desemba 20, 2024. Uboreshaji Mkoa wa Mbeya na Iringa unataraji kuanza Desemba 27 hadi Januari 02, 2025
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (wapili kulia) akikagua mafunzo ya vitendo ya waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata wakati alipotembelea kituo cha mafunzo kwa halmashauri ya Chunya mkoani Mbeya leo Desemba 19, 2024. Uboreshaji Mkoa wa Mbeya na Iringa unataraji kuanza Desemba 27 hadi Januari 02, 2025. (Picha na INEC).

No comments: