ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 20, 2024

SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA DARAJA LA FLYOVER MWANAKWEREKWA WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA JIJINI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi  akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Madaraja Winnie Mdugo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi  la  Flyover Namba 1 Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Wilaya ya Magharibi B Unguja.

Baadhi ya Wananchi na Wahamasishaji wakionesha Mabango yanayoashiria kumuunga Mkono Rais Mwinyi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi  la  Flyover Namba 1 Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi  (kulia)akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi  Flyover Namba 1 Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi Flyover Namba 1 Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Waziri wa Ujenzi M,awasiliano na Uchukuzi Dk Khalid Salum Mohamed akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni Rasmi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi  la  Flyover Namba 1 Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Wilaya ya Magharibi B Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi  akitoa hotuba katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi  la  Flyover Namba 1 Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Wilaya ya Magharibi B Unguja.

Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi  la  Flyover Namba 1 Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Wilaya ya Magharibi B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI.MAELEZO ZANZIBAR.20/12/2024.

No comments: