ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 20, 2025

RAIS SAMIA AZINDUA TUME YA RAIS YA KUTATHMINI KUHUSU MASUALA YA MGOGORO WA ARDHI




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro pamoja na Tume ya Rais ya Kutathmini zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Februari, 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Februari, 2025.












Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Rais ya Kutathmini zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Februari, 2025.
















Wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Kutathmini zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Februari, 2025.

No comments: