ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 12, 2025

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MHE.HEMED SULEIMAN ABDULLA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZIKO YA MAREHEMU MSUYA



Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameondoka Zanzibar na kuwasili Mkoani Kilimanjaro kushiriki katika mazishi ya aliyewahi kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania marehemu Cleopa David Msuya.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)

Tarehe 12.05.2025.

No comments: