ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 29, 2025

MHE. JESCA MSAMBATAVANGU ASHUKURU KAMATI KUU CCM KUREJESHA JINA LAKE UBUNGE URINGA MJINI


Aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Mhe. Jesca Msambatavangu ameshukuru kamati kuu kurudisha jina lake katika kuelekea kura za maoni zinazotarajiwa kuanza hivi karibuni kwa siku nne watanadi sera zao kwa Wajumbe wa chama hicho.


No comments: