ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 10, 2025

GLORY ASHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE NA MARAFIKI ZAKE, DURHAM, NORTH CAROLINA

 Birthday girl Glory akifurahia Sherehe ya siku ya kuzaliwa wake aliyesherehekea na ndugu, Jamaa na marafiki zake iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 8, 2025 Durham, North Carolina.
Dj Luke akimlisha keki mama mwenye Nyumba wake Katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake,
Birthday Girl alimlisha keki mums wake Dj Luke Katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake 
Birthday Girl akimlisha keki Allena Katika kusherehekea siku Yake ya kuzaliwa siku ya Jumamosi Novemba 9, 2025 Durham, North Carolina.
Kwa Picha zaidi boya soma zaidi
Birthday Girl akimlisha keki AJ Katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake
Birthday Katika Picha ya pamoja na AJ Mziwanda 
Birthday Girl akimlisha keki mimosa ya mapacha watt wa Rafiki Yake kutoka DMV
Birthday Girl akimlisha keki mimosa ya mapacha watt wa Rafiki Yake kutoka DMV
Birthday Girl akipata chakula
Njenje Mtaalam wa Champagne kutoka Paris akiwa Tayari kummiminia Birthday Girl Champagne kwenye glass yake
Birthday Girl akimiminiwa champagne kwenye glass Yake
Dj Luke akionja champagne na kuhakikisha usalama kwa bithday Girl
Dj Luke akita neon la shukurani
Birthday Girl Glory akita neon la shukurani
Birthday Girl Glory akita neon la shukurani
Kushoto mwenye kipaza sauti ni mshereheshaji Dr. Jonas Mushiakiongea jambo
Wageni waalikwa na marafiki wa Glory wakijumuika pamoja nae
Picha juu na chini ni marafiki wa Glory wakimtakia heri ya siku ya kuzaliwa






1 comment:

FunkHouse! said...

Happy Birthday Shemeji Lake