Thursday, February 4, 2010

Banana amlilia dingi yake!


Big Boss wa B-Band, Banana Zorro, ameibuka na kudai kuwa kuondoka kwa baba yake mzazi katika bendi hiyo, Mzee Zahir Zorro ni pigo kubwa kwa bendi hiyo.
Kauli hiyo ya Banana ilikuja kufuatia habari za uhakika zilizolifikia blog hili juu ya jitihada za Mzee Zahir kuifufua upya bendi yake ya Mass Media, kitendo ambacho kitamfanya gwiji huyo wa miondoko ya Rhumba nchini kuikacha B-Band

No comments: