Friday, February 5, 2010

McDonald Mariga asajiliwa na Inter Milan

Mchezaji wa kiungo cha kati wa timu ya taifa ya soka ya Kenya, Harambee Stars, McDonald Mariga amesajiliwa na mabingwa mara nne wa kombe la ligi kuu ya Serie A, nchini Italia, Inter Milan.

No comments: