Monday, February 1, 2010

Msiba Dc

Aisha Bwalu anasikitika kutangaza msiba wa baba yake Mpendwa uliotokea Tanzania,kupeana pole ni jambo jema,kwa hiyo jaribu kupata muda,na ukatoe rambi rambi zako kwa mfiwa.

Address ni 19933 Stone Point Way,
Germantown,Md,20876

kama hauta pata muda leo jaribu kuwapa pole kwa njia ya simu,
simu ya mkono 249 821 4782
simu ya nyumbani 301 540 5084

No comments: