Saturday, February 6, 2010

Tufani ya yatikisa Washington Dc

inapoanguka theluji hua furaha kwa watoto kama inavyoonekana hapa na hawa vijana Muhtari kushoto na mdogo wake Sharifa
Dc imechafuka na tufani iliyoanguka tangia ijumaa
Saleh Mohammed akifurahia ashikirimu

No comments: