Juu na chini ni mdau wa VIJIMAMBO amefunika uso kwa kuogopa Camera
Kushoto ni mdau mwingine wa VIJIMAMBO aliyeinamisha kichwa chini kukwepa Camera.
Ndugu zangu wadau wa VIJIMAMBO kwanza natoa shukrani zangu za dhati kwa sapoti yenu mnayonipa mimi pamoja na blog yenu ya VIJIMAMBO,pili nawahakikishia kwamba picha yako inapowekwa kwenye blog hii hua ni salama na inalindwa kwa asilimia 100 hakuna atakaepiga dongo wala kuchukua picha yako comments kwanza huja kwenye email yangu na mimi huzichuja kwa kukubali au kukataa,kwa hiyo wadu wa VIJIMAMBO msiwe na wasi wasi wala kuogopa Camera ya Blog hii,Asante,Mpwa
4 comments:
Nafurahi kusikia hivyo kaka nadhani wadau wako tutakuamini daima. Thanx RSJ
Richard hata ukajificha tumeshakutambua.
Very Good idea Luke, we just want constructive comments , sio majungu na uchawi uchawi tu
HUYO ALIYEHINAMISHA KICHWA NI ADAM JAMANI MTOTO WA MNAZI MMOJA DAR .
Post a Comment