ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 3, 2010

Pre-Harusi ya wadau John na Linda Nov 27 2010-Overland Park,Kansas..Hizi ni baadhi ya picha nilizoweza kudaka.Kila kitu kilienda “mswano” kabisa.Big ups kwa kamati nzima ya maandalizi.(PICHA KWA HISANI YA http://tunyfish.com/)
Ukumbi ukifanyiwa mambo mida ya mchana..
Wadau wakisubiri maharusi watarajiwa kuingia ukumbini..
Nikiwa na Joe Buluba..kwa picha zaidi Bofya Read More

Watarajiwa nakiingia pamoja na wapambe wao..
Sehemu tu ya “maakuli”..Kazi ya Eva Otto hiyo,huyu binti can cook!!
Sehemu ya umati ulifika kushuhudia pre-wedding ya John na Linda.
Brothers wakiteta jambo..Derek(L) na Jason(2nd L) ni kaka wa bibi harusi mtarajiwa..
Gloria na tabasamu la nguvu..Kwenye foleni ya msosi hapa..
Watarajiwa John na Linda..
Anita na mumewe mpendwa Dennis Rweikiza.Anita ni dada wa Linda na Dennis ni rafiki wa karibu wa John..
Mdau Joachim akichukua video..
Msosi ulikuwa si mchezo..Palikuwa na ugali wa aina yake.Eva ame-data when comes to “mapochopocho”..
Mpe Cake mpee Cake!!Cheki smiles usoni mwa bwana harusi mtarajiwa na mpambe wake?
Bro Ronald Maingu akitoa nasaa zake kwa maharusi na history fupi ya John Adhelo.
Joachim akifungua Champagne kwa maharusi watarajiwa..
Joe akigawa mvinyo high table..
Wadau toka states mbalimbali..kila mtu alikuwa amependeza kwa kweli.
Wadau wakiwatakia kila la kheri watarajiwa kwa kugonga glass zao..ndio nini vile?Cheers sio..?
Watarajiwa wakifungua stage kwa dance ya aina yake..Feelin your…!!By R Kelly sio?Lol
The dance then the “smooch”..Mambo ya kupendana si mchezo..!
Jamaa kaamka na anatoa another version ya nasaa kwa maharusi watarajiwa..
Mdau Martin na mkewe..Wanatarajia!!

No comments: