Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo (kushoto)akizindua awamu ya pili ya Mpango wa Taifa wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umasikini (MKUKUTA II) na taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa Mkukuta I, Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhan Khijjah. (Picha na Tiganya Vincent). |
No comments:
Post a Comment