Sunday, January 30, 2011

Mh.Balozi Mwanaidi Maajar akisema machache kwenye mkutano wake wa kwanza na Watanzania DMV huku akiwaambia milango ya Ubalozi ipo wazi karibuni sana.
Prof.Julius Nyang'oro nae alikuwepo hapa akieleza kwanini aliandika kitabu cha wasifu wa JK.
Mh.Balozi(kati) akisiliza mjadala wa kuchagua kamati  itakayounda katiba mpya ya Jumuiya ya Watanzania DMV,kutoka kulia ni Prof.Julius Nyang'oro.Alu Kalala Nyang'oro,Mh.Balozi,Dr.Mkama na Asia Dachi.

No comments: