RATIBA YA MKUTANO KATI YA MHE BALOZI MWANAIDI SINARE MAAJAR NA WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON METRO 29/01/2010 |
MUDA | TUKIO | MHUSIKA/WAHUSIKA |
10.00 Jioni | Kuwasili kwa wajumbe wa mkutano na kujiandikisha | Kamati ya Ubalozi, Love Maganga |
10.55 Jioni | - Mhe Balozi kuwasili
ukumbini, kusalimiana na kuelekea meza kuu na kusimama
- Wimbo wa Taifa kuimbwa
- Wimbo wa Tanzania Tanzania
kuimbwa
- Balozi kutambulishwa
rasmi kwa watanzania
- Balozi kuwatambulisha
maafisa na watumishi wa Ubalozi watakaokuwepo na wasiokuwepo
| Kamati ya Ubalozi, |
11.10 Jioni | M/kiti wa kamati kumkaribisha
Balozi ili atoe hotuba yake | M/kiti wa kamati, |
11.40 Jioni | Hotuba | Balozi |
11.40 Jioni | Kuchagua mwenyekiti na katibu
wa kikao | kamati |
12.00 Jioni
mpaka 1.00 Usiku | Kuchagua wajumbe wa kamati ya kuandaa katiba na uchaguzi wa jumuiya | Wajumbe wa Mkutano (Watanzania) |
1.10 Usiku | Neno la shukurani kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati ya kuandaa katiba na uchaguzi wa jumuiya ya watanzania. | Wajumbe wa Kamati ya Jumuiya |
1.15 Usiku | Chakula na vinywaji | Ubalozi |
9.00 Usiku | Balozi kuondoka | Kamati |
No comments:
Post a Comment