Saturday, January 29, 2011

Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote

Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote

Huu wimbo utaimbwa leo kwenye mkutano wa Watanzania na Mh.Balozi DMV najua ni siku nyingi kama umesahau basi jikumbushekumbushe hapa

No comments: