Just spare this young woman!!! Kila mwanamke ajiangalie hapo kaibia mara ngapi. Some of you mkitoka hapo mnabanana na waume za watu. At least she has something to claim from this man for four years. Come on now, it is not intriguing, it is disgusting to show this to the world! Kila mtu ana chupi so please grow up. Handle situations in more adult ways for goodness sake! Mtapata nini sasa mkimaliza hapo, kombe la dunia au la wanawake wasiofikiri!?
Kweli la wanawake wasiofikiria jamani kweli sisi wanawake mwalimu wetu kipofu inakuwaje eti mwanaume mwenyewe hajatolewa na wewe salma ndiyo bomu kabisa dhiki tu hizo unajidai mwanaume wako alipitiwa umemsamehe unachekesha kweli angepitiwa angemleta hapo nyumbani ni kwamba hata wewe amekuchoka vilevile umekaa kichawichawi tu,hiyo pesa ya wizi ya TRA ndiyo inawafanya anawazalilisha namna hiyo na hapo ndiyo ujue mawifi ni maasidi wa ndoa kweli unajipendekeza tu hapo ili upate ugali.na nyie waandishi mmekaa kienyeji kweli kama vile mchezo wa kuigiza miaka ile ya akina jangara kuweni nadhifu na ongeeni kistarabu mnaleta mambo ya shosti wenu huyo salma.wewe uliyefumaniwa wote hao wachukulie hatua wajinga tu,chupi mnaionesha ili iweje kweli salma lazima uuwe mtu nyumba yote hiyo lakini ndiyo hivyo ndugu kitanda hakizai haramu mtoto ndiyo huyo wachukie basi hao ndugu zake majid uone kazi sasa inaanza dada
2 comments:

Post a Comment