ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 3, 2011

MKUTANO WA INJILI

MWINJILIST EMANUEL MAYUNGA
MWINJILIST EMANUEL NA UPENDO WA YESU EVANGELICAL MINISTRY ANAWAKUMBUSHIA WAKAZI WA WASHINGTON METRO KUHUSU ULE MKUTANO WA INJILI  UTAKAOFANYIKA JUMAMOSI HII TAREHE 5/FEB/11.
ANWANI NI: 
3621 CAMPUS DRIVE
,COLLEGE PARK, MD 20740.
MKUTANO UTAANZA SAA KUMI NA MOJA NA NUSU JIONI MPAKA SAA MBILI USIKU.
BWANA MUNGU ANAYETUPENDA SANA ATAFANYA MIUJIZA KWA WATU WAKE.
JITAHIDI USIKOSE KWANI HUJUI MUNGU ATAFANYA NINI KATIKA MAISHA YAKO.
UBARIKIWE SANA
.

No comments: