ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 11, 2011

Kwa Wakaazi DMV

Je Unaweza kujua Loveness alipigia wapi picha hii????

3 comments:

Anonymous said...

Ilikuwa Millenium club@langley park(university blvd)sasa mbona hujatoa dau mimi nimepata jibu banaaaaa!!, its me Zaydullah.

VIJIMAMBO said...

Zaydullah umeibia majibu...nashukuru kwa jibu sahihi..jamani amepeta

Anonymous said...

Mpwa nikikuona lazima uninunulie nyama choma,kwa jibu langu sahihi sijaibia banaaa nina kumbukumbu,lol.