ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 12, 2011

NICK COLLISON OKLAHOMA CITY THUNDER

KILA SUMMER NINAYO KAZI YA KUWAFUNDISHA BAADHII YA NBA PLAYER JINSI YA KUTUMIA MIGUU KAMA WACHEZAJI MPIRA WA MIGUU KWA SABABU AWAJUI SANA KUTUMIA MIGUU NAFUNDISHA WACHEZAJI WA NANE 8 NBA WAKATI WA LIKIZO ZAO KWA SABABU WANATAKA KUA KAMA KHAKIMU OLWAJA ALIYE KUA ANACHEZEA HOUSTON. HUYU NI MMOJA WA WACHEZAJI NINAYE MFUDISHA NA KANIRUHUSU NITUMIE PICHA YAKE KWA HIYO KAMA HASHEEM ANATAKA KUSAIDIWA NAWEZA KUMSAIDIA ,  UKIJUA KUTUMIA MIGUU VIZURI UNAWEZA KUCHEZA MICHEZO YOYOTE HILE.ONE LOVE IS LAW BY ALEX KAJUMULO NA KWENYE MAISHA YANGU NINA BAHATI YA KUJUA MENGI THANKS

No comments: