ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 25, 2011

FASHION SHOW YA VAZI LA KHANGA NA ASYA IDAROUS

Juu na chini ni Models wakipita mbele na vazi la khanga kwa wageni waliokuja kutoka sehemu mbali mbali hapa Marekani na Tanzania kwenye kwaheri Party iliyofanyikia Marriott Hotel kwa ajili ya kuwaaga wageni wote na kuwashukuru kwa ujio wao.

2 comments:

Anonymous said...

Nimeyapenda zaidi mashati ya wanaume. Yanapatikanaje?

Anonymous said...

Hii ilikuwa wapi jamani, na tunapataji nguo hizo?