Mbwa aliyekata kamba na kuingia uwanjani kwenye mechi ya Simba na Toto Africa ya Mwanza na kuanza kumfukuza mchezaji wa Simba wakati huo Simba ilikua mbele ya goli 3-1 na baada ya mbwa kuingia uwanjani,Toto Africa walifunga magoli 2 na kupelekea mpira kuisha 3-3(picha kwa hisani ya Global publishers)
No comments:
Post a Comment