Wageni kutoka Tanzania na Marekani wakisubili kuchukua beji zenye majina yao tayari kuingia kwenye mkutano wa DICOTA unaofanyiaka Washington,DC
Juu na chini ulinzi ulikua sio kawaida
Wageni kutoka Columbus,Ohio wakiwakilisha
Didi Vava akipata Ukodak Moment
Wageni wakipata picha za kumbu kumbu kabla ya kuanza mkutano
Kulia ni Janet Mbene ambae ni Secretary General-Tanzania Professional Netwpork(TPN) akipata picha ya pamoja na Khamsini(kati) na Mustafa Karamagi
Wageni wakipata kifungua kinywa kabla ya kuanza mkutano
Wageni waliofika kwenye mkutano huu wa DICOTA wakiongea mawili matau huku wakisubili mkutano kuanza
kukutana kwenye mikutano kama hii ndio chanzo cha Network kama uonavyo pichani wageni wakibadilishana mawili matatu huku wakisubili mkutano uwanze
Local Commitee wakipata Ukodak moment
Mchungaji Niku(kulia) nae alikua mmoja ya wageni waliokuja kwenye mkutano huu wa DICOTA
Wageni mbali mbali kutoka kilapembe ya Marekani na Tanzania walikuwepo kwenye mktano huu wa DICOTA unaoendelea hivi sasa,Washington,DC.
kwapicha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment