ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 28, 2011

Rais Kikwete ang'ara katika ufunguzi wa mkutano wa DICOTA 2011 jijini Washington DC leo

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Marekani wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Diaspora Council of Tanzania in America (DICOTA)  2011 huko Dulles, Virginia, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika
 Kila mtu alitaka kumshika mkono Rais Kikwete
 Watanzania wakimshukuru Rais Kikwete kwa kuwafungulia mkutano wao wa DICOTA
 Furaha ya kutembelewa na Rais wao mpendwa inajionesha dhahiri
 "...Asante sana Mheshimiwa anasema Mtanzania huyu wakati akipewa mkono na Rais Kikwete
 Furaha kila hatua aliyochukua Rais
 Mbunge wa Viti Maalumu kupitia tiketi ya CHADEMA Mh. Leticia Nyerere (kulia) ni miongoni mwa Watanzania waliojitokeza kumsikiliza na kumsalimia Rais Kikwete leo
 Watoto wa Kitanzania na waalimu wao wakipozi nyuma ya meza Kuu baada ya kuimba wimbo wa Taifa na wa 'Nakupenda Tanzania' kwa ufanisi mkubwa
 Rais Kikwete na Balozi Mwanaidi Maajar wakiwapongeza watoto hao kwa kuimba vizuri

No comments: