After Sales Representative/ Dealer Liaison wa Kampuni ya Magari CFAO Motors Bw. Mjinja Mtimba ( wa nne kushoto) akitoa utaratibu wa ziara ya ujumbe wa wahandisi wa utengenezaji magari uliokwenda kutembelea kampuni hiyo kuona inavyofanya shughuli zake.
Key Account/ Products Manager wa Kampuni hiyo Bw. Alez Oelofse akitoa maelezo ya gari aina ya Nissan Patrol GRX.
Mratibu wa Huduma kwa Wateja Bw. Maseu Kazembe akiwaonyesha wahandisi hao baadhi ya bidhaa zinazopatikana katika kampuni hiyo.
Parts Manager wa Kampuni hiyo Bw. Midu Bisanda akiwatembeza wahandisi waliotembelea kampuni ya CFAO MOTORS leo kwenye chumba kutunzia Spare za magari.
Mmoja wa mafundi wa CFAO MOTORS akionyesha jinsi kampuni hiyo inavyotumia Teknolojia ya kisasa katika unyooshaji wa matairi ya magari (Wheel Alignment).
Wahandisi waliotembelea kampuni ya CFAO MOTORS wakipata maelekezo kwa mmoja wa mafundi wataalam wa kampuni hiyo jinsi Kompyuta inavyoweza kutambua matatizo ya gari.
Paint and Body Shop Manager Bw. Manoj Vishani wa kampuni hiyo akitoa maelezo ya jinsi kitengo cha kupaka upya rangi za magari kinavyofanya kazi kwa kutumia utalaamu wa kisasa.
(picha kwa hisani ya MO Blog)
No comments:
Post a Comment