AFTER DICOTA CONVENTION..NOW THE REAL TANZANIA AT 50, INDEPENDENCE EXTRAVAGANZA IN WASHINGTON DC, PAMOJA NA KENYA MIAKA 49 ITAFANYIKA PARTY YA AINA YAKE IKIJUMUISHA WAKENYA NA WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DC,JUMAMOSI DEC 10 KATIKA CLUB KABAMBE YA "RIO LOUNGE 13501,BALTIMORE AVENUE,LAUREL,MD,..PALEPALE TULIPOFANYIA PARTY YA LABOR DAY PAMOJA NA WAKENYA,POOL TABLE ZA BURE ALL NITE,LIVE SHOW FROM MTANZANIA ANAYEKUJA JUU "AJ UBAO" NA MWANAMZIKI MACHACHARI MWENYE ASILI YA KENYA NA TRINIDAD MELLY ROSE,MA DJS WA SIKUZOTE NI KUTOKA,TANZANIA,KENYA, REPRESENT YOUR COUNTRY IF POSSIBLE WEAR YOUR TZ COLOR,GREEN,YELLOW,BLUE & BLACK,..DJ BABU, DJ ACE,DJ SMOOTH
No comments:
Post a Comment