ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 4, 2012

ANDY BROWN SWEBE MEMORIAL FUND

Kamati imeundwa kuratibu mfuko maalum ambao umefunguliwa nchini Marekani kukusanya fedha kwa ajili ya kusadia mahitaji ya kielimu ya watoto wa Marehemu Andy Brown Swebe kwa jina maarufu Ambassador ambaye alifariki ghafla tarehe 28 na kuzikwa tarehe 30 Desemba 2011 mjini Dar es Salaam, Tanzania. Marehemu alikuwa hapa nchini Marekani hivi karibuni kwa muda wa kiasi cha miezi miwili akiandamana na mwanamziki mkongwe King Kiki na alishiriki kutoa burudani ya muziki katika miji ya Washington DC, Boston na Huston. Wengi wetu tulishudia upole na ucheshi wake wakati akiwa hapa nchini, bila kujuwa kuwa Mwenyezi Mungu atamchukuwa ghafla mara baada ya kurejea Dar es Salaam. Popote ulipo na kwa moyo wa upendo kwa ndugu yetu,  unaombwa kushiriki kwa hali na mali kuchangia katika mfuko huu kwa ajili ya mahitaji ya kishule kwa  watoto wa marehemu.
Wajumbe wa Kamati ni:
1.    Phanuel Ligate                    - Mwenyekiti              240 605 1870
2.    DJ. Luke Joe                 - Katibu                      301 661 6696           
3.    Brig. Jenerali E. Maganga - Mjumbe                    202 468 6488
4.    Dr. E. Magembe                   - Mjumbe                    202 569 3717
5.    Ma Winny Casey                 - Mjumbe                    202 660 8228
6.    Flora Mochiwa (Houston)   - Mjumbe                    832 893 5034

Wasiliana na mmoja wa wajumbe waliotajwa hapo juu kutoa mchango wako  au weka mchango wako moja kwa moja katika Benki ya Wells Fargo,  Akaunti maalum ya jina la ANDY BROWN SWEBE MEMEROAIL FUND”
Routing Number 054001220 Bank Account Number 5510817694

TUNASHUKURU KWA MSAADA WAKO
 KUTOA NI MOYO

No comments: