Chumba cha kifahari alichojifungulia Beyonce ambacho kina Luninga bapa 4, jiko, sofa utafikiri upo 5 star Hotel kumbe ni Hospitali ya kifahari iliyopo New York Nchini Marekani.
Hiki ni mfano wa kitanda alichojifungulia Beyonce mtoto wao wa kwanza na mwanamuziki wa kufokafoka, Jay-Z.
Juu na chini ni Van lililonunuliwa maalum kubebea familia ya Jay-Z ambayo imeongezeka sasa wapo watatu.
Nyumba hii ndio nyumba watakayoishi sasa baada ya Beyonce kujifungua mtoto wao na Jay-Z hapa ilikua mapema mwaka huu ilipokua kwenye ukarabati wa mwisho mwisho.
1 comment:
Jamani.
Ni ufahari tu, lakini basically kila kitu kikingali sawa.
Hata Yesu na Mtume walizaliwa katika hali ya chini zaidi ya hii na bado WALIKUWA WAKOMBOZI
Post a Comment