Misa ya kumuenzi Martin Luther King Jr iliyofanyika leo Jumatatu January 16, 2012 katikati ya Jiji la Washington, DC katika kanisa la St Aloysius lililopo mtaa wa 19 I St, NW.
Baraka Daudi (kulia) akipiga picha ya pamoja na meya mstaafu wa jiji la Washington, DC,miaka ya 1999-2007, Athony Allen Williams ambae alihudhulia misa ya kumuenzi Martin Luther King JR iliyofanyika katikati ya Jiji la Washington, DC.
Baraka Daudi (kulia) akipiga picha ya pamoja na mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa kituo cha TV cha WUSA 9, Andrea Roane.
Kushoto ni Sunday Shomari akipiga picha ya pamoja na Baraka Daudi.
Kushoto ni Aunty Julie Sarwatt akipata picha ya pamoja na Baraka Daudi.
Waumini kutoka kila pembe ya Dunia wakifuatilia misa.
Waumini kutoka kila pembe ya Dunia wakifuatilia misa ya kumenzi mtetezi wa haki za binadamu, Martin Luther King JR , kwenye picha kati ni Baraka Daudi.
Matayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa kituo cha TV cha WUSA 9, Andrea Roane akitunukiwa tuzo ya "KEEP THE DREAM ALIVE" na Padri Monsignor John Enzler.
Janet Valente Pape (aliyekua mkurugenzi wa jimbo la misaada la kanisa Katoliki Wichita) nae akitunukiwa tuzo ya " KEEP THE DREAM ALIVE"
Kevin Concannon ambae anafanyakazi chini ya wizara ya kilimo kwenye serikali ya Rais Barack Obama nae akitunukiwa tuzo ya "KEEP THE DREAM ALIVE".
Meya mastaafu wa Jiji la Washington, DC, Athony Allen Williams nae akitunukiwa tuzo ya " KEEP THE DREAM ALIVE"
Meya mstaafu wa Jiji la Washington, DC, Athony Allen Williams akifuatilia misa.
Picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment