Keki ya siku ya kuzaliwa kwa mapacha David na Daniel Malinda ambapo leo walisherehekea kutimiza mwaka mmoja kwa misa maalum wakiwa wamejumuika na watoto wenzao Lanham, Maryland Jumapili January 15, 2012.
David na Daniel wakifurahia kuona keki wakiwa na watoto wenzao waliofika kushuhudia siku hii maalum kwao.
Juu na chini ni David na Daniel wakila keki yao ya kusherehekea siku yao ya kuzaliwa ya mwaka mmoja.
Juu na chini ni David na Daniel wakiwa kanisani kwenye misa maalum ya kusherehekea siku yao ya kuzaliwa ya mwaka mmoja.
David akila pozi la ukodak moment.
David na Daniel wakiwa kanisani kwenye misa maalum ya siku yao ya kuzaliwa na watoto wenzao iliyofanyika Jumapili January 15, 2012 Lanham, Maryland.
David akiwa kanisani kwenye misa maalum kwa ajili ya siku yao ya kuzaliwa ya mwaka mmoja.
Daniel akila pozi kwenye ukodak moment.
Daniel akiwa na mama yake Mary.
David na Daniel wakiombewa pamoja na watoto wenzao na mchungaji.
David Ramadhan Jr aka DJ akisoma neno kwa ufasaha na ustadi mkubwa.
Aman Moshi akiwa na kadogo wake katika ukodak moment.
kwa picha zaidi Bofya Read More
1 comment:
wow its nice n they're so cute. happy birthday David N Daniel
Post a Comment