ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 15, 2012

AUNTY GRACE APATA UGENI

Juu ni Aunty Grace akipiga picha ya pamoja na dada yake aitwae Rose na chini toka shoto ni Uncle George ambae ni mume wa Aunty Grace, Aunty Grace na Rose wakiwa kwenye 1St Birthday ya David na Daniel Malinda iliyofanyika Lanham, Maryland.

No comments: