Hii ndio Bara bara ya Mbalizi Road Maeneo ya Hospitali ya wazazi Meta Jijini Mbeya, Ikiwa imezibwa viraka kwa kutumia Cement
Baadhi ya Viraka vikiwa vimezibwa
Mafundi wakiwa bize wanahangaika kuziba viraka hivyo
Wafanya kazi wa Jiji wakiendelea kukoroga zege tayari kupeleka kuziba viraka katika bara bara ya lami
Shughuri ya kuziba viraka kwa kutumia cement imekamilika, Inasubiri kukauka magari yaanze kupita
Mafundi wakiendelea kuziba mashimo ya Bara bara kwa Kutumia Cement (picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog)
No comments:
Post a Comment