ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 5, 2012

Daraja hili Lenye Urefu wa Mita 500 limejengwa Juu ya Mto Lyandembera

Daraja hili lenye urefu wa mita 500 limejengwa juu ya mto Lyandembera likiunganisha kitongoji cha Kinyasuguni na Mahango, Madibira, wilayani Mbarali mkoani Mbeya. Limejengwa kwa Sh milioni 10.(picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog)

No comments: