ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 2, 2012

MISA YA KUMUAGA STEINA MREMA, JUMAPILI JANUARY 1, 2012

Mchungaji wa kanisa la Cathedral Of Praise akiendesha misa ya kumuaga mpendwa wetu, Mtanzania mwenzetu na rafiki yetu mukubwa, Steina Mrema iliyofanyika Jumapili January 1, 2012, Lahnam, Maryland, Nchini Marekani.
Watanzania akiwemo mtoto wa marehemu Sean Mrema wakiwa mbele ya jeneza la marehemu Stena Mrema.
Watanzania wakiamuga mpendwa wao Steina Mrema katika misa ya kumuaga marehemu iliyofanyikia Kanisa la Cathederal Of Praise lililopo Lahnam, Maryland, Nchini Marekani.
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye misa ya kumuaga Steina Mrema wakitoa heshima za mwisho.
Kweli ni vigumu kuamini Steina Mrema hatukonae tena kama uonavyo kwenye picha hii Watanzania waliojumuika pamoja kwenye misa ya kumuaga mwenzao wakiwa kwenye majonzi makubwa huku wakisema sisi tulimpenda Steina lakini Mwenyezi Mungu amempenda zaidi kwani ni yeye alitoa ni yeye ametwaa na jina lake lihimidiwe.
 
Watanzania wakijumuika pamoja wakiwa kwenye majonzi makubwa katika misa ya kumuaga nwenzao Steina Mrema iliyofanyika Jumapili January 1, 2012 katika kanisa la Cathedral Of Praise lililopo Lahnam, Maryland Nchini Marekani.
 Watanzania wakijumuika kwenye misa ya kumuaga mwenzao, mpendwa wao na rafiki yao mkubwa Steina Mrema katika kanisa la Cathedral Of Praise lililopo Lahnam, Maryland.
 Watazania wakiwa kwenye misa ya kumuaga Steina Mrema katika kanisa la Cathedral Of Praise.
 Watanzania wakiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokea na mwenao, mpedwa wao na rafiki yao mkubwa, Steina Mrema kwenye misa ya kumuaga marehemu iliyofanyika Jumapili January 1, 2012 katika kanisa la Cathedral Of Praise lililopo Lahnam, Maryland.
 Watanzania wakijumuika pamoja kwenye misa ya kumuaga Steina Mrema.
Watanzania wakiwa kwenye misa ya kumuaga Steina Mrema.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

2 comments:

Anonymous said...

R.I.P STEINNA, LIFE IS A JOURNEY, HEAVEN IS THE DESTINATION.

Anonymous said...

I WILL ALWAYS REMEMBER YOU STEINA. REST IN PEACE MY DEAR BROTHER