Becky na Cartias wakipata picha ya pamoja kwenye Mkaribisho wa Xmass uliofanyika nyumbani kwa Loveness na kuhudhuliwa na ndugu, marafiki na jamaa.
Kadogoo wa Cartias na Becky akiwa katika pozi kwenye Mkaribisho wa xmass uliofanyikia nyumbani kwa Loveness na kuhudhuliwa na ndugu, marafiki na jamaa.
Zay B Dullah akipata ukodak moment na kadogoo wa Becky na Cartias kwenye Mkaribisho wa Xmass uliofanyika nyumbani kwa Loveness na kuhudhuliwa na ndugu, marafiki na jamaa.
Becky (shoto) katika pozi na Zay B Dullah kwenye Mkaribisho wa Xmass nyumbani kwa Loveness uliohudhuliwa na ndugu, marafiki na jamaa.
Loveness akipata ukodak moment na Zay B dullah kwenye Mkaribisho wa Xmass nyumbani kwa Loveness na kuhudhuliwa na ndugu, marafiki na jamaa.
Amina mama mwenye nyumba wa Amani akipata ukodak moment kwenye mkaribisho wa Xmass nyumbani kwa Loveness na kuhudhuliwa na ndugu, marafiki na jamaa.
Angalia walivyopendeza
Kutoka shoto ni Linah, Zay B na Amina wakiwa kwenye mkaribisho wa Xmass nyumbani kwa Loveness na kuhudhuliwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Ni Becky (shoto) na Linah wakipata ukodak moment.
Kutoka shoto ni Becky, Amina, Loveness na Zay B
Katika ukodak moment ni Amina (shoto), Becky na kadogoo wake na Zay B (kulia) wakiwa kwenye mkaribisho wa Xmass nyumbani kwa Loveness na kuhudhuliwa ndugu, marafiki na jamaa.
No comments:
Post a Comment