Watu kibao waliofika Times Square New York kusherehekea mesha wa mwaka mpya wakipagawika mambo waliyoyakuta Times Square.
Watu kutoka kila pembe ya Dunia wakiwa Times Square New York kwenye mkesha wa mwaka mpya,
Juu na chini Mtu Nyomi Times Square New York kwenye mkesha wa mwaka mpya.
Ilipofika saa 8:30 mchana Barabara zote na vituo vya Treni za Times Square zilifungwa aliyekuwemo ndani hawezi kutoka na aliyekuwepo mje hawezi kuingia kama uonavyo kuzuizi hicho cha Polisi.
Watu kutoka kila pembe ya Dunia wakijumuika pamoja Times Square New York kwenye mkesha wa mwaka mpya.
Hii sio mieleka ni Busu la New Year Askari huyu akiwa na mpenzi wake Times Square New York kwenye mkesha wa Mwaka mpya.
Mtu ilikua nyomi kweli kweli si mchezo katika mkesha wa mwaka mpya Times Square New York
.
Mwimbaji Lady Gaga na Meya wa New York, Michael R. Bloomberg wakijitayarisha kubonyeza kitufe cha Ball Drop kwenye mkesha wa Mwaka mpya Times Square New York.
wa pili toka kulia walioshikana wamevaa nguo nyeupe ni Lady Gaga na meya wa New York, Michael R. Bloomberg wakiangalia Ball Drop kwenye mkesha wa mwaka mpya Times Square New York.
No comments:
Post a Comment