ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 12, 2012

BWENI LA WASICHANA CHUO CHA MKWAWA LATEKETEA KWA MOTO


Kikosi cha Zimamoto na polisi wwakizima moto katika bweni la wasichana chuo cha Mkwawa mchana huu

Chumba cha wasichana katika chuo cha mkwawa kikiwaka moto
Hivi ndivyo moto ulivyoteketeza vyumba viwili katika bweni la wasichana chuo cha Mkwawa
Hapa ndipo moto ulipoanzia katika bweni hilo
Chumba ambacho moto ulianza kuwaka kikiwa kimeteketea vibaya
Mali za wanafunzi zikiwa zimeteketea kwa moto
Polisi wakichukua maelezo kwa wahanga wa tukio hilo

Kwa picha zaidi Bofya Hapa

No comments: