ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 12, 2012

MWANADIASPORA DR. HAMZA MWAMOYO ALONGA NA VIJIMAMBO


Dr. Hamza Mwamoyo atalonga na VIJIMAMBO aelezea Maisha yake kwa ufupi alikotoka mpaka hapa alipo Je alishawahi kupiga box??, Je yeye ni shabiki wa Yanga au Simba?? na ukitaka kujiunga na VOA ni utaratibu gani unatakiwa kufuata. MSIKILIZE

1 comment:

Anonymous said...

wow !! Hongera Dr. Hamza, umeni inspire na mimi pia !! nimepata moyo kuwa kupiga box ni kupita tu !! but luka I wish ungemuuliza anaionaje marekani ya miaka ya 80 na sahizi, I think things r becoming tougher everyday !!