Dr. Hamza Mwamoyo.
Kesho Jumatatu March 12, 2012, Dr. Hamza Mwamoyo atalonga na VIJIMAMBO kueleze Maisha yake kwa ufupi alikotoka mpaka hapa alipo Je alishawahi kupiga box??, Je yeye ni Yanga au Simba?? na ukitaka kujiunga na VOA ni utaratibu gani unatakiwa kufuata.
USIKOSE
USIKOSE
No comments:
Post a Comment