Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis Inancio Lula da Silva mara baada ya mazungumzo yao alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo Aprili 16, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis Inancio Lula da Silva baada ya mazungumzo yao alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo Aprili 16, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis Inancio Lula da Silva baada ya mazungumzo yao alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo Aprili 16, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis Inancio Lula da Silva alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo Aprili 16, 2012.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment