ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 23, 2012

Bondia Francis Miyeyusho amtwanga Malawi John Masamba


 
Bondia Francis Miyeyusho akimshambulia bondia kutoka Malawi John Masamba wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Miyayusho alishinda kwa K.O Raundi ya 5.
 
Bondia John Masamba kutoka Malawi wakionyeshana ufundi wa kutupa masumbwi na Francis Miyeyusho wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana. 
 
Bondia Obote ameme wakionyeshana kazi na Cosimasi Cheka
 
Bondia Miyayusho akisikiliza wimbo wa taifa wakati wa kuimba nyimbo za mataifa mawili
Bondia Rashidi Ali akioneshana kazi na Amnos Mwamakula wakati wa mpambano wao jana


No comments: