ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 3, 2012

HOUSTON KUKIPIGA WICHITA

TEAM YA HOUSTON INATEMEA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA TEAM YA WATANZANIA WA WICHITA KANSAS, PAMBANO LITAFANYIKA TAREHE 14 MWEZI WA SABA HUKO WICHITA. MARA YA MWISHO HOUSTON WALIIFUNGA WICHITA 2-1, JE SAFARI HII ITAKUAJE? NGOJA TUONE

No comments: