ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 22, 2012

JUMATATU VIJIMAMBO ITALONGA NA MWANADIASPORA KHAMSIN IDDI ALKHAG

Jumatatu June 25, 2012 VIJIMAMBO italonga na MwanaDiaspora Khamsin Iddi Alkhag Sehemu ya I atazungumzia historia yake kwa ufupi pamoja na mambo mengine ya maisha yake na Mabaharia waliwezaje ku-stow away wakati kulikua na ulinzi wa kumwaga Bandarini.


Pia anapenda kutoa  shukrani kwa rafiki yake mpenzi SAIDI MUARABU ambae bado yupo Umangani aliyempa pesa wakati ule kwenda kununua kazi na pesa hiyo akaichoma moto na mabegi mwisho akawa anamkwepa. Mshikaji wake Jackson akamshauri bora tu amwambie pesa aliyompa amejirusha mangomani  "watu hawa Mzee Kismi Madegwa, Saidi Muarabu, na Babu Jackson" USIKOSE

1 comment:

Anonymous said...

Bwana Luke,

Nasubiria sehemu ya Mabaharia longtime nakumbuka.

Turushie mambo