Achoto ninawakaribisha Wanawake wote DMV kwenye Kitchen Party yangu itakayofanyikia College Park leo Jumamosi June 23, 2012 kuanzia 7pm (saa 1 usiku)
ADDRESS:
9450 Cherry Hill Rd,
College Park, MD 20740
Ukipata Ujumbe huu mtaarifu na mwenzio na kufika kwako ndio mafanikio ya Kitchen Party yangu Asante na karibu sana tufurahi pamoja katika hii siku yangu maalum.
No comments:
Post a Comment