ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 27, 2012

Mahakama yatoa onyo kwa madaktari Tanzania

Athari kutokana na mgomo wa madaktari nchini Tanzania sasa zimeanza kudhihirika wazi.

Mahakama kuu ya Tanzania Kitengo cha kazi kimetoa onyo kwa Chama cha Madaktari Nchini (MAT)  kuzingatia amri ya Mahakama hiyo iliyotolewa siku ya Ijumaa tarehe 22 Juni 2012 ya kusitisha na kutoshiriki katika mgomo na kumtaka Rais wa Chama cha Madaktari kutangaza kutii amri hiyo kupitia vyombo vya habari.

Kwa Habari zaidi na kusikiliza malalamiko ya Wananchi yakiwemo mahojiano na Naibu Mwanasheria Mkuu Bofya Hapa

No comments: